Katika mchezo uliokuwa ikitazamwa na washabiki wengi na uliokuwa ukivuta hisia kubwa kwa washabiki wasoka duniani hususani kwa hapa kwetu Tanzania ambao ndio wafatiliaji wakubwa wa ligi kuu nchini humo ulishuhudiwa kwa kichapo cha kufedhehesha ambacho majogoo wa jiji liverpool walikipata toka kwa wenzao wa jiji la Manchester, man City cha mabao matatu kwa moja.
Stevan
Jovetic alifunga mabao mawili moja kila kipindi la kwanza likia katika dakika ya 41
na pili likiwa katika dakika ya 55 kabla ya Edin Dzeko kuingia na kufunga bao la tatu
katika mpira wa kwanza aliogusa dakika ya 68.Liverpool nao waliweza kujipatia bao lao kufutia machozi dakika ya 83 kupitia kwa Mshambuliaji wao mpya Lambert.
No comments:
Post a Comment