Na Kassim Discover
Mkoa wa Tanga Ni mkoa unaokua kwa kasi ya ajabu katika uanzishwaji wa vituo vya Redio ambapo hadi sasa vipo vituo vya Redio takribani Tisa (9) ambapo baadhi yao vipo jijini Tanga na vyengine wilayani.
Lakini ikumbukwe harakati hizi za kuanzishwa vituo vya Redio zilianzia kati ya mwaka 2007/2008 kwa mkoa wa Tanga kuanza kupeperusha hewani Redio zipatazo mbili ambazo ni Mwambao Fm Radio ambayo ilikuwa ikirushia matangazo yake katika jengo la Bandari House lilipo Tanga,Redio Nyengine ilikwa ni Huruma Redio ambayo hii inamilikiwa na dhehebu mojawapo la dini ambapo inarusha matangazo yake katika maeneo ya Chumbageni katika kanisa la Chumbageni barabara kuu iendayo Mombasa.
Kuanzia mwaka huo kama vile milango ikafunguliwa kwa wahisani na baadhi ya wafanyabiashara mbali mbali na watu maarufu kuweza kufungua vituo vya Redio.
Leo wakazi wa mkoa wa Tanga wanajivunia vituo hivi licha ya kuhabarishwa na kuburudka lakini pia vimeweza kutoa ajira kubwa kwa wakazi wa mkoa huu wa Tanga kwani asilimia kubwa walioajiriwa ni wakazi wa mkoa waTanga amabapo maisha yanaendelea.
Sasa mkoa wa Tanga kila kona zimefunguliwa Redio watu wakisikiliza na kuburudika,na licha ya yote kwa sasa mkoa wa Tanga unatikisika kwa kuwa hewani kwa Redio inayojulikana kwa jina la TK 88.5 FM yaani Tanga Kunani Redio,haya sasa wana Tanga mpewe nini?
Zipo Redio nyingi tu naamini zitakuja kutokana na kuvutiwa na mkoa huu wa Tanga huku WINDS FM Redio Ikiwa nayo ipo njiani muda wowote inaweza kuwa hewani.
Hebu tuvifahamu vituo hivi basi,Mwambao Fm 106.0 Sauti ya Tanga,Breezee Fm More than a Radio 100.6,Voice of Africa muheza 98.5 Fm,Huruma Fm Radio 103.6,Maaarifa Redio 105.3 Fm,Ihsaan Fm Redio 102 Tochi ya jamii,Noor Fm 94.5,Pangani Fm 107.7,TK Fm Radio 88.5.

Ikumbukwe kua Pangani Fm na Voice of Africa ni Redio pekee zalizopo wilayani huku wilaya ya Korogwe nayo ikisadikiwa kuwa na kituo cha Redio kinachojulikana kwa jina la Mountain View...Voice ipo wilaya ya Muheza,Pangani Fm ipo Wilaya ya Pangani.
Haya wana Tanga mpooooooooooooooo!
No comments:
Post a Comment