Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Tuesday, 26 August 2014

Arsenal Yahofia kumkosa Olivier Giroud miezi minne

Timu ya Arsenal inaweza kumkosa mshambuliaji wake raia wa Ufaransakwa miezi minne takribani wiki kumi kufuatia kumia mguu wake katika mchezo dhidi ya everton uliomalizika kwa sare ya mabao mawili kwa mawili.

Kufuatia kuumia huko sasa kocha Arsen Wenger itamlazimu kununua mshambuliaji mwengine ili kuimarisha kikosi kufutia kuwa nje kwa Giroud kwa miezi minne huku ikisadikiwa kua kwa silimia zote mchezaji huyo hatocheza katika mchezo wa kesho jumanne wa Champions dhidi ya Besikitas lakini taarifa zaidi zitatolewa mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo hapo kesho.



No comments:

Post a Comment