Mchezo uliohudhuriwa na watazamaji takribani 21,099 ulizidi kuididimiza Manchester United maarufu kama mwanitesa United ambavyo ndivyo wanavyoitwa na washabiki mbali mbali hapa nchini,ni kumalizika kwa sare ya bila kufungana na kuzidi kuwaweka mashabiki wao roho juu ya kutoweza kujiamini tena kutokana na kuzidi kuboronga.
Wengi wanazidi kutokuwa na imani na kocha wa sasa Van Gal baada ya mchezo wake wa tatu huku akiambulia point mbili tu akipoteza mchezo mmoja.
Hichi ndicho kilichotokea leo hebu tazama hapa chini
No comments:
Post a Comment