RATIBA YA TAREHE 13 SEPTEMBA 2014
1.
Saa 10:00 - 11:00 Jioni Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Mwili wa
marehemu kuchukuliwa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Kamati
2. Saa 12:00 Jioni- 12:00 Alfajiri Nyumbani kwa marehemu Kilimani. Mkesha nyumbani kwa marehemu Kilimani. Wote
RATIBA YA TAREHE 14 SEPTEMBA 2014
1. Saa 01:00 Asubuhi- 03:00 Asubuhi Nyumbani kwa marehemu Kilimani. Chai. Wote
2.
Saa 03:30 Asubuhi- 03:30 Asubuhi Kanisa Kuu la Anglikana Mwili wa
marehemu kupelekwa Kanisani (Kanisa Kuu la Anglikana) kwa ibada na
kuaga. Kamati
3. Saa 04:00 Asubuhi- 07:00 Mchana Kanisa Kuu la Anglikana Ibada na kuaga. Wote
4.
Saa 07:00 Mchana Safarini Mwili wa marehemu kupelekwa wilayani Korogwe
(Kijiji cha Mgombezi) kwa ajili ya mazishi. Kamati
5.
Kijijini Mgombezi, Korogwe – Tanga Ibada na kuaga mwili kijijini
Mgombezi, Korogwe – Tanga kwa ratiba itakayoandaliwa Korogwe. Wote
RATIBA HII NI KWA MUJIBU WA ALLY MOHAMED-DODOMA
No comments:
Post a Comment