Michuani ya Kagame inanza jumamosi hii jijini Dar-es-salaam,uku Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kutoa kitita cha dola 60 za kimarekani kwa mshindi
Michuano hii ya clabu bingwa Africa ya mashariki na kati, na tayari vilabu zaidi ya 13 vitashiriki
KUNDI A:Yanga,Gor Mahia,KmKm,Telecom na Khartoum
KUNDI B:APR,Al-Shandy,LLB FC na Heegan
KUNDI C:Azam,Malaika,Adama na KCCA
|
No comments:
Post a Comment