 |
Ghorofa ya kambi hiyo ya jeshi nchini Urusi limeporomoka na kusababisha vifo vya wanajeshi 23
Wanajeshi wengine 19 majeruhi,vyombo vya habari vya Urusi vinaeleza kuwa wanajeshi walikuwa wamelala wakati ajali hiyo inatokea
Zaidi ya ghorofa nne zimeporomoka,kutokea kwa ajali hiyo inadhaniwa kuwa ni ukarabati duni uliofanyika mwaka jana ndio uliosababisha ajali hiyo ya kuporomoka kwa ghorofa nne. |
Kwa maoni na ushauri.0659-310702
No comments:
Post a Comment