Kwa mwaka wa tatu mfululizo kilabu ya Real Madrid ndio kilabu inayoshikilia kuwa tajiri duniani kulingana na jarida la biashara la Forbes
Kilabu hiyo ya Hispania ina thamani ya pauni bilioni 2.08 huku timu ya soka ya Marekani Dallas Cowboys na ile ya New Yankees zilichukua nafasi ya nne wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.02
kilabu ya Manchester United iko katika nafasi ya tano kutoka nafasi ya tatu mwaka uliopita
Nafasi nyengine zilizosalia zinashikiliwa na timu za ,michezo nchini Marekani
Timu nyengine za ligi ya Uingereza ni Mancity iliopo katika nafasi ya 29 ikiwa na thamani ya pauni milioni 890.Chelsea ikiwa na thamani ya pauni milioni 877 inachukua nafasi ya 31 na Arsenal yenye thamani ya pauni milioni 839 ikiwa nafasi ya 36.
No comments:
Post a Comment