Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga
Manchester United wamaliza uhamisho wa Bastian Schweinsteiger na Morgan Shweinsteiger(30) amesaini mkataba wa miaka mitatu kutoka Beyern Munich kwa kitita cha pauni milioni 14.4 Schneiderlin,25 kutoka Southampton amesaini mkataba wa miaka minne kwa kitita cha pauni milioni 25.Na Ramadhani Makero
No comments:
Post a Comment