Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Tuesday, 14 July 2015

WAVAMIA NA KUUA MAAFISA WA POLISI 4.Na Ramadhani Makero

Mkuu wa polisi Ernest Mangu athibitisha kutokea kwa tukio hilo.


 Maafisa wanne wa jeshi la polisi wauliwa katika shambulio hilo lilotekelezwa na watu wasiojulikana,   
Na maafisa wengine wa polisi wanne na raia wajeruhiwa katika n tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar-es-salaam Tanzania.

No comments:

Post a Comment