Mshambuliaji mpya wa Liverpool Mario Balotel sasa atakuwa akilipwa kiasi cha pauni 125,000 kwa wiki baada ya kuingia kandarasi ya mkataba wa miaka mitatu kukipoga na majogoo hao wa jiji Liverpool ambao hapo jana usiku walipokea kichapo cha mabao matatu kwa moja toka kwa mabingwa wa ligi kuu nchini humo Man city.
Mshambuliaji huyo mwenye sifa ya kuwa mtukutu ndani ya uwanja na nje ya uwanja atakuwa akilamba mzigo huo wa Pauni 125,000 kwa wiki.Tayari Baloteli mwenye umri wa miaka 24 kwa sasa alianza mazoezi mara baada ya kuwasili nchini humo.
No comments:
Post a Comment