Serikali ya Liberia imesema kuwa itafungua mtaa mmoja wa mabanda uliokuwa umetengwa ili kukabiliana na ugonjwa wa Ebola.Mtaa huo uliopo katika mji mkuu wa Monrovia ulitengwa zaidi ya wiki moja iliopita na kusababisha ghasia.
Kwa mujibu wa Waziri wa habari wa nchi hiyo amesema kuwa serikali imeamua kuufunga mtaa huo
wa West Point ili kukabiliana na
ugonjwa huo vilivyo.
No comments:
Post a Comment