Baaada ya majogoo wa jiji Liverpool kumsajili Mario Balotel kama vile walimpotezea Mcameroon Samuel Eto'o,na sasa mchezaji huyo ameingia mkataba wa miaka miwili kwa kuichezea timu ya Everton ya nchini Uingereza akitokea Chelsea kama mchezaji huru.
![]() |
Samuel Etoo akiwa na jezi za Everton |
Mchezaji huyo sasa anaungana na Romelu Lukaku
waliokuwa wakikipiga pamoja na Chelsea,Etoo mwenye umri wa miaka 33 sasa atakua chini ya bosi wa Everton Roberto Martinez.
No comments:
Post a Comment