Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Monday, 25 August 2014

Hata kwao wapo!

Tumezoa kwa sana hali kama hizi zikitokea katika ardhi za kiafrika lakini kwa Tanzania tungesema mengi sana na hata kutaka kuzipiga uwanjani yaani wachezaji kwa wachezaji ama hata washabiki kwa washabiki,lakini sasa hebu amini hiki ni kituko kilichotokea katika mchezo kati ya Fc Bercelona na timu ya ELCHE iliyomalizika kwa timu ya Bercelona kushinda mabao mawili kwa bila(2-0).
Lakini cha kushangaza mchezo ulisimama dakika kadhaa kupisha kituko hicho cha paka mweusi tiiiiiiiiii aleikatiza uwanjani  duhhhhhhhhhhhhhhhh hata kwao wapo bwana!

No comments:

Post a Comment