Kama kuna mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni chezo huu siku hii ya leo kati ya matajiri Manchester City na amajogoo wa jii Liverpool ambao mchezo huu utakuwa unakumbusha washabiki wengi mambo mengi hasa katika msimu uliopita katika zile mbio za ubingwa ambao hadi mwishi Man city ndio walikuwa mabingwa.
Ikumbukwe kua katika mchezo wa mwanzo msimu uliopita timu ya man city ilishinda mabao 2-1 lakini mchezo wa marudioano timu ya majogoo wa jiji liverpool waliweza kutoa kichapo cha mabao 3-2 kwa matajiri hao.
Huku liverpool ikimuuza mchezaji wake tegemeo Luis Suarez ambabe msimu uliopita alichangia kiasi flani katika mafanikio ya wekundu hao wa liverpool sasa hayupo lakini liverpool itaweza kumtupia dimbani mtukutu mwengine Mario Balotel ambae kama atacheza basi atakuwa akicheza dhidi ya timu yake ya zamani.
Kocha wa man city Manuel Pellegrini amesema kuwa hatishwi na timu hiyo kwani timu yake inakikosi bora imesajili wachezaji wazuri lakini akisema kuwa itachukua muda kwa wachezaji wake kurudi katika hali yao ya kawaida kutokana na wengi wao wametoka katika mashindano ya kombe la dunia .
Hebu tazama hii kwanza ujue!- Sturridge (136 mins) has the fifth best minutes-per-goal rate in Premier League history (minimum 50 goals), ahead of former team-mate Luis Suarez (139).
- Manchester City’s Sergio Aguero (115 mins) has the best mins-per-goal rate in Premier League history.
No comments:
Post a Comment