Alonso huyoooo Bayern Munich,Imefahamika kuwa mchezaji wa Real Madrid ya Hispani sasa kuna uwezekano mkubwa wa kujiunga na Mabingwa wa ujeruman Bayern Munich kutokana na timu hiyo kuthibitisha dhahiri shahiri kuwa sasa mchezaji huyo kuelekea leo kule Ujerumani kwa ajili ya vipimo vya afya tayari kabisa kukipiga na wakali hao wa ujerumani.
![]() |
Xabi Alonso |
Wakali hao wanaongeza wameamua kumuongeza Aloso kutokana na kupata majeraha kwa wakali wao Javi Martinez, Bastian Schweinsteiger and Thiago Alcantara.
Real Madrid nayo kama watafanikiwa kumuuza Alonso basi watafanya usajili kwa midfielder Luiz Gustavo wa Wolfsburg.
Zaha kurejea Crystal Palace kwa mkopo.
Huyu ni mchezaji wa mwisho kusajiliwa na mkali babu furguson mnamo January 2013 kipindi Babu anakifundisha kikosi cha united lakini alishindwa kuwika akiwa na kikosi cha Moyes alietimuliwa kibarua chake.Kijana huyu sasa ameamua kurudi katika timu yake ya zamani kwa mkopo.
Tores huyo kuelekea AC Milan
Mchezaji nguli na raia wa Hispani na timu ya achelsea ya nchini uingereza frenando Toress kuna uwezekano mkubwa wa kujiunga na timu ya Ac Millan ya nchini Italy baada ya timu yake ya Chelsea kukubali ofa ya kitita cha €12.5 million,Tores anaamua kuuzwa kutokana na kutokuwa katika mipango na mbwatukani Jose Mourinho.
Liverpool Kumsajili Alex Song

No comments:
Post a Comment