Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Saturday, 8 November 2014

Hali bado tete kwa Mbeya City yakalia kuti kavu ligi kuu Yapokea kichapo dhidi ya Stand


Msimu mmoja uliopita tu ilonesha kuwa nini kilichowaleta mbeya city katika ramani soka baada ya kuwa timu tishio kweli,lakini msimu huu sijui ni kitu gani kinachowaponza kuzidi kuboronda katika michezo yake ya ligi kuu na leo hii imepokea kichapo cha bao 1-0 toka kwa Stand Unitd.
 Hadi sasa Mbeya City imeshinda mechi moja na kutoa sare moja.
Huku mbeya City ikipokea kipigo hicho leo,maumivu ya wana Mbeya ni kama maumivu ya wana Tanga kwani timu zao zote zimepigwa leo hii.
Timu ya Prisons imefungwa pia 1-0 na wenyeji Polisi Uwanja wa Jamhiri mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment