Wadau:
Mgambo 2 Mbeya City 1
NIMEKEREKA/NIMEKERWA:
1. Na KIPA wa Mbeya City
2. Washabiki Jukwaa la Kaskazini
Goal keeper/Mlinda Mlango wa Mbeya City Kumtukana Mmoja wa Vijana hawa (Ball Boys) kwa vile tu Yeye Kipa Amashindwa Kuzuia mipira Miwili
Isimpite na Kuhesabu Magoli Mawili na Kumtolea "HASIRA na JAZBA" mtoto Mdogo huyo ambae Hahusiani Kivyovyote na Kushindwa Kwake!!
Washabiki wa Jukwaa la Kaskazini nao Walioimba Wimbo wa Matusi wakimshinikiza Mwamuzi wakati anafanya Kazi yake!! Kuna Haja ya kuzifanyia Kazi Tabia zisizo za Kistaarabu katika Mchezo huu unaopendwa na wengi Nina Hakika Kipa huyu angekuwa anahudumiwa na Watoto/Mtoto wa Mbeya katika Kiwanja Chao hata angekuwa kabugizwa Goli 7 Asingeweza kumtukana huyo mtoto baada ya Kumkemea kwa sauti kali ampe Mpira!! Ningependa kuona Kanuni zinawekwa na kama zipo zitumike kuwalinda hawa Watoto na Wachezaji wasio na Moyo wa Kimichezoo!! Nilitoa Taarifa kwa viongozi wa TFF Mkoa na Baada ya Mchezo Kwisha Kijana alinifuata na Kunambia kuwa Alitukanwa Tena. Nilimchukua Mbele ya Afisa wa Polisi ili anipe Ushauri nini cha kufanya Afisa alisema tuache tu ni "Mambo ya Kimpira" mimi silikubali hilo, wakati huo Maafisa wa TFF walisogea na Kamisaa wa Mchezo na wakamuuliza kijana Matusi alotamkiwa nae akayarudia. Kamisaa akasema atayafikisha kwa Mwalimu wa Mbeya City, alipopita akamsalimia na kumwacha aende akisema hayuko katika hali ya kupokea habari kama hiyoo, naweza kulielewa hilo. Lakini ni nini kifanyike?? hawa watoto naamni wanajitolea tu sioni sababu ya wao WADHALILISHIWE wazazi wao wa Kike katika Tukio hili. Hali kadhalika kwa Refa kwa nini ADHALILISHIWE mzazi wake wa Kike!!? TFF na VYOMBO vya DOLA na SISI wapenzi Tunawajibika kwa Pamoja kutafuta ufumbuzuzi wa Tatizo hili. Kwani mwisho wa siku Haikumsadia yule Kipa. Bado aliondoka AMESHINDWA tu!!
Mgambo 2 Mbeya City 1
NIMEKEREKA/NIMEKERWA:
1. Na KIPA wa Mbeya City
2. Washabiki Jukwaa la Kaskazini
Goal keeper/Mlinda Mlango wa Mbeya City Kumtukana Mmoja wa Vijana hawa (Ball Boys) kwa vile tu Yeye Kipa Amashindwa Kuzuia mipira Miwili
Isimpite na Kuhesabu Magoli Mawili na Kumtolea "HASIRA na JAZBA" mtoto Mdogo huyo ambae Hahusiani Kivyovyote na Kushindwa Kwake!!
Washabiki wa Jukwaa la Kaskazini nao Walioimba Wimbo wa Matusi wakimshinikiza Mwamuzi wakati anafanya Kazi yake!! Kuna Haja ya kuzifanyia Kazi Tabia zisizo za Kistaarabu katika Mchezo huu unaopendwa na wengi Nina Hakika Kipa huyu angekuwa anahudumiwa na Watoto/Mtoto wa Mbeya katika Kiwanja Chao hata angekuwa kabugizwa Goli 7 Asingeweza kumtukana huyo mtoto baada ya Kumkemea kwa sauti kali ampe Mpira!! Ningependa kuona Kanuni zinawekwa na kama zipo zitumike kuwalinda hawa Watoto na Wachezaji wasio na Moyo wa Kimichezoo!! Nilitoa Taarifa kwa viongozi wa TFF Mkoa na Baada ya Mchezo Kwisha Kijana alinifuata na Kunambia kuwa Alitukanwa Tena. Nilimchukua Mbele ya Afisa wa Polisi ili anipe Ushauri nini cha kufanya Afisa alisema tuache tu ni "Mambo ya Kimpira" mimi silikubali hilo, wakati huo Maafisa wa TFF walisogea na Kamisaa wa Mchezo na wakamuuliza kijana Matusi alotamkiwa nae akayarudia. Kamisaa akasema atayafikisha kwa Mwalimu wa Mbeya City, alipopita akamsalimia na kumwacha aende akisema hayuko katika hali ya kupokea habari kama hiyoo, naweza kulielewa hilo. Lakini ni nini kifanyike?? hawa watoto naamni wanajitolea tu sioni sababu ya wao WADHALILISHIWE wazazi wao wa Kike katika Tukio hili. Hali kadhalika kwa Refa kwa nini ADHALILISHIWE mzazi wake wa Kike!!? TFF na VYOMBO vya DOLA na SISI wapenzi Tunawajibika kwa Pamoja kutafuta ufumbuzuzi wa Tatizo hili. Kwani mwisho wa siku Haikumsadia yule Kipa. Bado aliondoka AMESHINDWA tu!!
Mara baada ya kuwasilishwa mada hiyo hapo juu ambayo hadi sasa mjadala bado unaendelea yafuatayo yakawa ni baadhi ya maon i ya wana Tanga Kunani FACEBOOK.
- Abdala Saady sheria zinasema hata angemtukana beki wake na refa akasikia lazima ampe adhabu huyo mchezaji.
- Twaha S E Durra AA! HAWA WATOTO NI SEHEMU YA MCHEZO (BALL BOYS) NA WAPO KWA MUJIBU WA KANUNI NA SHERIA ZA SOKA SI VINGINEVYO. MUHIMU NI KUWAELIMISHA NINI WANATAKIWA WAKIFANYE ZAIDI YA KURUDISHA MPIRA MCHEZONI. HILO LILILOFANYIKA NI KOSA LINALOSTAHILI ADHABU FUTBALL NA MATUSI WAPI KWA WAPI. KUHUSU MASHABIKI NAO TFF WANAZOSHERIA TATIZO NI KUTOKUJALI NA UFUATILIAJI.
HILI LIMETOKEA LIFANYIE KAZI ILI NEXT TIME LIKITOKEA BASI HAWA WATOTO WETU WAWEZE KUTOA ISHARA AU KUFANYA TENDO LITAKALOWEZA KUONYESHA PANA TATIZO.
INSHALLAH - Nassor Dos Santos oya wana mambo mengine mnauchuna tu. apa sio ulaya ukafkiri zitafwatiliwa . mkwakwani hakuna ladha kwanza uwanja wenu mbovu ndo mana mmetushinda. team mbeya city
- Tanga Kunani Kuna Mambo yanayowezekana bila CCTV @Nassor Dos Santos Kama mimi naweza kujizuia Kutukana kwa nini Mwengine Asiweze?? Kama Huyu Mtoto Wakati wa Mchezo au Baada angemfuata huyo kipa na Kumtukana Unadhani Ingekuwaje??
- Abdullatif Omar Famau Story hiyo ilitokea kwa mchezaji mkubwa wa chealse anajulikana kama Edin Hazard....aliwahi kumpiga ball boy mmoja....kwa kuwa ball boy alikuwa hataki kutoa mpira...hivyo alichukuliwa hatua....japo ilithibitika ball boy pia alikuwa na makosamya kuchelewesha kutoa mpira...
Tanga Kunani...kwa uchache mimi nimeshawahi kucheza mpira japo si kwa ngazi za juu....lkn naelewa pressure ya mchezaji ilivyo....ni rahisi kukasirika endapo atazomewa au amefungwa au inapoelekea ushindi hauko upande wake....sasa makosa kama hayo ya mchezaji tunaita...Countless mistakes yaani makosa yasiyohisabika...japo yanatakiwa kukemewa yakithibitika ilimiwe fundisho kwa wengine...
Pia tuwarudie hawa watoto....yaani ball boys...ninachoamini mimi wamefundishwa kukaa standbay na mipira ili unapotoka haraka wamtupie mchezaji anaerusha mpira....sasa utakuta huyo mcheza wakati mwingine anautaka kwa haraka na wakati mwingine hautakinkabisa akikusudia kuchelewesha muda...na juzimmechinya coastal nilimshuhudia mchezaji mmoja akimwambia mtoto acha mpira usinipe...sasa kwa ujumla tunawachanganya hawa watoto...hawajui watoe haraka kama walivyofunzwa au wacheleweshe...
Kuhusu mashabiki wa jukwaa la kaskazini.....hizo nyimbo za matusi ndio nyimbo zao....nakushauri bwana Tanga Kunani ukotaka kusikiza nyimbo nzuri za kushangilia ....njoo kule Russia usikize COAST ASILI wakiimba....utafurahi....hahahaa... - Marco Mayunga · Friends with Ummy Mwalimu and 8 othersAcha sheria za nyumbani kwako
- Abdullatif Omar Famau Marco Mayunga...unamwambia mtoa post au mwenye kucomment? Weka na jina kisha...
- Shaaban Kibelloh · 15 mutual friendsDah mi cjui nisemeje naweza kwenda kum- - - fala huyo golikipa
- Hadra Julias · Friends with Dessa Makoko and 6 othersmatusi mpirani jambo la kawaida cana pale kila mtu kavurugwa
- Hadra Julias · Friends with Dessa Makoko and 6 otherskwa staili hiyo mtapeleka wengi maana matusi yapo kwa wachezaji na mashabiki pia
- Makame Seif Ulaya ni kosa kubwa hilo TFF kama upo ushahidi walifanyie kazi watoto wakikataa jee itakuwaje lakini tumuachie mungu atamlipia kwa mnyonge siku zote nikumwachia mungu lakini si vizuri
- Iblis Nafsi TK mashabiki wa jukwaa la kazkazini ni vibaraka wa rafikiyo na ndio aliowafundisha jeuri...shaurizo
- Abdullatif Omar Famau Hamjamuelewa Tanga Kunani....hasemi mashabiki wapelekwe polisi...anasema mashabikimwajirekebishe na nyombo za matusi sio nzuri....nami hilo naliunga mkono...ila kuhusu wachezaji kuwaharas ma ball boys..hili ninjambo la kukemewa...
- Iblis Nafsi teh teh teh Makame Seif usifananishe na ya ulaya kuleta hapa bongo... bongo kujuana, sheria mkononi ! ile mada yako ya usuluhishi imeishaje?
- Ramson Ally Kifup hata uwe umepigwa kofi mbele ya refa na akaona lkn ukitoa lugha ya matusi ww na mchezaji mwenzio nyote mtaadhibiwa,lugha ya matusi haitakiwi ktk michezo hasa football,waamuz wengi wana maamuz ya kimazoea...
- Iblis Nafsi TK buana naona saa zingine unakua umeamka na handas!!!! ile kesi ya rafikiyo kumtia kijana rumande mji mzima ulirindima ulikaa kimyaaaa hata mada hukuleta humu kulikoni???leo huyu kipa na kijana hakuna hata mtu zaidi yako anajua umelifungulia mada?! KAZI YA KUHABARIZANA HAITAKI UPENDELEO!!!! KILA TUKIO LAZIMA UTUHABARISHE ILI TUMWAGIKE MAONI.....
- Tanga Kunani Mbona nilishakupa ushauri juu ya Rafiki yangu!! Tafadhali Usichanganye MADA, waangalie hao Watoto kwenye Picha @Iblis Nafsi ni yupi Kati yao ana Ushujaa na Ujasiri kama wa Mwalim Abdullatif Omar Famau!!?? Mwalimu Anajua na Anaelewa anachokifanya, katika Dunia ya Kawaida sidhani kama Anahitaji Msaada wangu angehitaji angenambia na anajua wapi pa kunipata!! Ikiwa ww una Intrest ya kumtafutia haki nimekuongoza nini cha Kufanya Sina Haja ya Malumbano. Nawazungumzia na kuchukua Hatua juu ya hawa Watoto kwa Sababu ni Wajibu Wangu/Wetu Kuhakikisha Haki za Watoto hawa/hao Zinalindwa!!
- Sele Meki · Friends with Salma Mambo and 2 others
- Miraj Mdoe · Friends with Omari R Nundumh,timu zetu zamkoa maashallah zinazidi kutufurahisha,ivi mh,kiongozi wa mpira tanga ninani?pls mh,nifahamishe.
- Tanga Kunani Kulia ni Mwenyekiti wa TFF Mkoa wa Tanga Bw. Said Suud, Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya TFF Mkoa Bw. Khali Abdallah. wa katika ni Mchezaji wa zamani wa Coastal Union Bw. Salim Omari. @Miraj Mdoe Tk.
- Iblis Nafsi TK kama ishu ni kutukanwa watoto mbona majumbani ndio lugha za wazazi? anza nyumbani kwanza
- Iblis Nafsi TK hata huyo rafikiyo atukana wachezaji na kuwaita majina mabaya mabaya... Je utayafatilia na haya?
- Iblis Nafsi TK hata mwanachama ambaye hakujadiliwa Wickens Babujinga atukana matusi makubwa makubwa kila mtu anaemjua na asie mjua kama mimi Iblis Nafsi na kapelekwa polisi na rafikiyo kenda nae na kumdhamini ... sasa nasikia apelekwa mahakamani na hii ndio hayo ninayo sema tuanze majumbani kwanza!!!
- Miraj Mdoe · Friends with Omari R Nundushukran!ibls nafs!
- Kingdom H. Mwakimwagile Acheni ushindani usomana, kwenye soka, hasa kwa mchezaji ama watu wote walio kwenye orodha ya mchezo husika yaani viongozi na wachezaji wao, adhabu ni kadi nyekundu na faini kwa wasio husika (yaani wasio kwenye orodha) hilo ni kosa kama kosa lingine, kituo cha kwanza Chumbageni cha pili Mahakamani, haina shaka hiyo.
- Tanga Kunani Nilichojaribu kuweka Hewani Kingdom H. Mwakimwagile ni vipi tutaweza kuepusha matusi kati ya Wahusika Ulowataja Michezoni, kwa uwazi zaidi ni Vipi Tutaacha tabia za " KISHENZI" na kuishi kwa kuheshimiana na kuheshimu Taratibu Tulojiwekea. Mimi Situkani Wanangu wala Siwachapi, kama Mwingine Anafanya Hayo ni Maamuzi yake. Lakini nigependa Asitumie Njia hizo kwa Malezi.Na ikiwa Babujinga Kapelekwa Polisi kwa Uvunjifu wa Sheria kwa Kumtukana Mtu, Alotukanwa ametumia Haki yake sasa Tatizo liko wapi na Akitokea wa Kumdhamini hiyo nayo ni Haki ya Kisheria sasa tatizo liko wapi!?
- Tanga Kunani Mada yangu ni Mmoja wa Watoto hao Kutukanwa na Golkipa wa Mbeya City!! Sio Rafiki yangu Vs Fulani kama kuna anaelitaka hilo Afungue MADA. na hilo Limeshapita Coastal yasonga Mbele Pande zote Wadau Washangiria!!......au ndo hiyo Tanga kunani? Swali liso na JIBUU??
- Chande Kalua · Friends with Dessa Makoko and 23 othersMTOA MADA BANNA HAYO MAMBO YA MPIRA NDO MANA ULIPOLIVALIA KIBWEBWE NDO MAMBO YA MPIRA NA WATU WA MPIRA KUANZIA POLIS VIONGOZ TFF NA MSIMAMIZ WA MCHEZO AMESHINDWA KUMBWAMBIA KOCHA WA MBEYA CITY U@J*. mpira dak 90 kunayanayotokea ndan ya uwanja na kwa mashabik pia ULIZA ENZ ZA AKINA BWANAKAKA NA MWANZO MGUMU TUSI LATUKANWA JUKWAA LA RELIN LASIKIKA JUKWAA KA OLD TANGA SCHOOL
- Kingdom H. Mwakimwagile Ustaarabu watofautiana bro Tanga Kunani si wote waingia uwanjani wamefuata mchezo, wengine wana kazi maalum, wengine waja kusikiliza kigoma cha Coast, wengine waja kukutana na marafiki wa zamani, basi taabu tupu, mi nadhani kama tulivyoweza kukatazana kurusha chupa uwanjani, tutumie njia hiyohiyo kukatazan kutukana, wengine twaangalia mpira na wakwe zetu, wengine twaja na familia na wengine hatajazoea matusi japo twayasikia kila tuingiapo uwanjani hasa jukwaa la kaskazini na la Magharibi upande uleeeeeeee chini ya mtu wa kivuli pale
- Chande Kalua · Friends with Dessa Makoko and 23 othershaya banna lakn watu wa mpira kwa hili watakushangaa 2 MFANO KOCHA WA MGAMBO AMETUKANWA WAKAT AKICHEZEA TIMU YA MZEE BWANAKAKA AKATUKANWA NA TIMU YAKE YA WATOTO AKATUKANWA SANA ALIPOPEWA TIMU YA MKOA WA TANGA PIA ALIKOMA NA COAST B KULE ARUSHA LEO C HUYU ASIFIWA NA MGAMBO YAKE haya maisha ya mpira USHABIK KUPITILIZA C PAMOJA NA ASIRA ZA WACHEZA C TANGA, TZ ATA ULAYA INAFIKIA MASHABIK WANAZUIWA KUINGIA UWANJAN KWA VURUGU ZAO. Kwa nin ZIDAN alimpiga kichwa MATERAZ lugha za matus vwanjan kawaida
- Kingdom H. Mwakimwagile Chande Kalua usiongope si kawaida lugha ya matusi kiwanjani, ila ni wavuta unga na bangi ndio wafanyao hivyo, mtu mwenye wazazi waliowajibika ipasavyo hawezi kutukana hadharani, ndio maana ukitukana unakula nyekundu, kwa hiyo usituongopee kuwa ni kawaida,
Kuchelewa kwetu kimaendeleo ndio kuna tufanya tuwe hivyo, wenzetu FA wanajua Holigans wote kwa picha na majina na inafikia hadi kuwa ban wasiingie baadhi ya mechi kuepusha vurugu, hata uhamiaji utumia data hizi kuwazuia wasipewe Visa balozi za nje ili wasiende National Team inapo safiri, sasa hii kawaida yako itakuwa umeitoa mchangani na sio viwanja vya maana - Kingdom H. Mwakimwagile Google Hooliganism in Soccer utaona mengi tu na jinsi yanvyodhibitiwa ulaya,
Usiku mwema - Kingdom H. Mwakimwagile (Reuters) - The violent death of a fan on the opening weekend of the Swedish football season on Sunday was a sharp reminder that though high-profile riots in Europe's stadiums are largely a thing of the past, hooliganism has by no means been eradicated.
Modern policing and stewarding, and widespread use of CCTV, has meant that most stadiums are largely trouble-free environments on the inside and few now have the need for fenced segregation.
However, as the appalling events in Sweden, when a Djurgarden fan in his 40s died after being assaulted on his way to a game in Helsingborg show, associated violence is still rife in many places.
Below we examine the current hooligan situation around Europe:
Wamezungumzia nchi nyingi za ulaya lakini ngoja nikupe hii ya England kwenye ugonjwa huo sugu unaousifia ndugu yangu Chande
ENGLAND
England, which suffered so badly with hooliganism in the 1970s and 80s that the problem was sometimes described as "the English disease", has largely put its house in order.
A concentrated clamp-down by police, involving detailed intelligence operations, helped identify many of the regular trouble-makers and banning orders kept them away from grounds.
As with many other countries, trouble still occurs further away from grounds while there are still regular problems in many lower league games, often unreported as they take place away from the media spotlight.
Generally, however, most grounds are now considered safe destinations and colour-draped fans of opposing teams can usually be seen travelling alongside each other to the game - unthinkable 20 years ago.
- - - - - Kingdom H. Mwakimwagile Ufaransa nako hadi vilabu vinajitolea kudhibiti mashabiki wake, ona hii
FRANCE
There is a difference between 'ultras' and hooligans in France. Ultras are known for their fanatical support and use of flares, but they are usually not out for violence.
While hooliganism is on the decline in France, the problem has not been fully crushed, with Paris St Germain and Olympique Lyon two of the clubs where trouble has been known to flare up, especially around European games.
PSG implemented the 'Plan Leproux' (Robin Leproux, former PSG president) in 2010 to eradicate all fans groups at the club, which had a big impact on disrupting hooliganism.
Nationwide, preventative measures include stadium banning orders, with flexibility to increase the length of the ban.
There is also better coordination between police and public authorities to quash trouble in advance, rather than reacting to incidents.
There is sometimes trouble at smaller matches, such as the eastern derby between Nancy and Metz, with hooligans meeting for pre-arranged fights, while PSG fans battled rivals from Bayer Leverkusen in a pre-planned fight before a Champions League clash last month. - Kingdom H. Mwakimwagile Raha ya Wajerumani ukizingu unapigwa ban ya kufa mtu, hata Ligi haushiriki, ona hii
GERMANY
Germany has seen cases of hooliganism drop from their height in the 1980s but matches are still marred by clashes, usually outside the stadium or in the city.
Borussia Dortmund and Schalke 04 fans keep police busy whenever the two Ruhr valley sides meet and extensive clashes between the two sides occurred as recently as October 2012, when some 200 fans in total were detained.
The league's (DFL) biggest day-to-day problem however is the use of flares inside stadiums, including in that derby where Dortmund fans lit dozens and threw them into the Schalke tribunes, delaying the start of the game.
Dortmund boss Hans-Joachim Watzke has pledged to crack down on his own ultras and Dortmund were sanctioned for their fans' behaviour.
There are also regular incidents in the second Bundesliga with police under attack from some 200 Cologne fans in March after they had tried first to attack Karlsruhe supporters.
In the most spectacular sanction Dynamo Dresden were banned from competing in the German Cup this season after repeated offence by their fans. - Kingdom H. Mwakimwagile Naomba tu Tz tufuate nyayo hizi, timu wakifanya fujo ya kuharibu mchezo wasipewe mapato tu ya mlangoni, uone njaa itakavyo wanyoosha, au washushwe daraja
- Chande Kalua · Friends with Dessa Makoko and 23 othersMPIRA UNA SHERIA 17 katika hizo sheria 17 iyo ya kufanya fujo na kufutwa haipo labda iongezwe iwe ya 18 LAKIN ELEWA KWAMBA FIFA WAMESHINDWA KUIFANYA kanun ya fair play kuwa sheria ingawa inasaidia kupunguza UHASAMA
- Abdullatif Omar Famau Kiukweli hoja zenu nyote ni za msingi....ila napenda kusisitiza swalamaliloleta Tanga Kunani kwamupande linawezekana ikiwa mtu atabainika ikiwa ni shabiki au mchezaji amefanya utovu wa nidhamu kuadhibiwanili iwe mfano kwa wenzake ni sawa....lakini kikubwa ni kwamba hakiwezekani kuzuiliwa kabisamkwani wachezajimwote huwa nanhasira..na mashabiki wengi huwa na hasira timu zao zinaposhindwa hivyo wanajikuta wakitukana na kufanya mambo ya ajabu pasi na kutegemea....kisha baadae kama hujazoea kufanya hayo huwa unajuta....binafsi nimeshawahimkupigana na kutukana pia nikiwa kiwanjaninkama mchezaji na nikiwa kiwanjani na nje ya kiwanja nikiwa kama shabiki...lkn kwa sasa yote nayajutia....
Tanga kunani....utushauriyo ni sawa lakini ni magumu kuchukua nafasi. - Chande Kalua · Friends with Dessa Makoko and 23 othersNIMESOMA VITHIBITISHO VYOTE VIMELENGA TAHADHAR YA VURUGU ATARISH C KUZUIA MANENO WALA KELELE kinachopingwa kngne ni UBAGUZ HASA KUMEFANANISHA MWAFRIKA NA NYAN thibit kung'oa vt TAIFA uwez kuzibit WIMBO WA NAN KAINAMA NAN KAMTIA DOLE. turud kwe point ya msing WAOKOTA MPIRA TIMU YA NYUMBAN IKIFUNGWA MIPIRA IKITOKA HARAKA UMERUDISHWA UWANJAN LAKN IKIWA IMESHINDA WANAKANAYO PIA UTAONA WACHEZAJ WANAIFUATA WENYEWE PIA WATU WA MPIRA WAKIWA KWENYE MPIRA WANA MZUKA IKIWA MZEE WENGA KAMSUKUMA MURINYO wacha mtoto ambiwe maneno na kipa wa MBEYA CITY wakat wa mchezo C MTAAN AU BAADA YA MPIRA KWSHA NDO MANA ULIPUUZWA NA KILA ULIEMUELEZA BADA YA MECH. NB' ongera kwa ushabik wa mpra SMARTPHONE
- Tanga Kunani Nadhani Baadhi yetu hatuko Tayari kuona tabia za "KISHENZI" zinatoweka!! Sidhani wala Siamini kuwa kuna Mwenye haki ya Kumtukana Mwengine Ati kwa Sababu Timu Anayosapoti (Sio Timu yake) Imeshindwa! Huko kwa Maoni yangu ni Kujiendekeza. Unapokwenda Uwanjani: Mchezaji, Mtazamaji, Kiongozi, Mwamuzi nk......Unategemea moja kati ya matatu. "KUSHINDWA" na hili naliweka mbele kwani wengi tunaliogopa, kwenda SARE au KUSHINDA!! nategemea Akili "TIMAMU" zitakuwa zimejitaarisha na Hayo. Kinyume chake ni "TABIA" ambayo inasemwa haina Dawa lakini Ukweli ni Kuwa Inawezeka Kuondoa Udhalilishaji wa Aina zote yakiwemo "MATUSI" kinachotakiwa ni NIA na UTHUBUTU wa kufanya hivyoo!!
- Iblis Nafsi TK buana ati wewe huwagombi wanao? basi unakua mtanga wa kwanza na mtanzania wa kwanza!!!
- Iblis Nafsi TK swali langu kwako, ikiwa umeona uchungu mtoto kutukanwa hali ya kuwa humjui ? vipi hili jambao ambalo liko gumzo tanga hujalishikia bango hali watuhumiwa wote unawajua?au ndio ubayasi wa kuripoti ?
- Iblis Nafsi TK haya tujuze umefikia wapi kwa hili la mtoto kutukanwa?umepitia vyombo vya sheria? maana unaanzaga vizuri halafu unakula kona na kutuacha mataani?hata kupitia redio Akida fm 88
- Tanga Kunani Kwa Hilo Juu ya Wanangu halina Utata ni Si Dhani ka nitakuwa wa Kwanza Tanga na Tanzania bali Mmoja kati ya Wachache. Nazungumza na Wanangu kama Wanangu na Rafiki zangu na Tunaelewana!! Malezi ya Kugombwa na Mipera Yamepitwa na Wakati Ibilisi kama uko hivyo, Badilika.
- Tanga Kunani Kwanza Mtoto namjua. 2 Namjua mwenye Jukumu na Hawa watoto wakiwa Hapo Mkwakwani. 3 Hata kama Nisingemjua bado nilikuwa na Nina Wajibu wa Kulinda Haki Yake/Zake!
- Tanga Kunani Hilo Unaloliita Gumzo la Tanga Lina/Limewahusu Watu Wazima Wawili, Kila Mtu na Uelewa Wake, Tayari Walishafikishana kwenye vyombo vya Sheria. Wote Nnawafahamu kama Unavyosema ni kweli na Mmoja namfahamu zaidi na wewe Ibilisi unadhani huyo namlinda na k...See More
- Abdullatif Omar Famau Tabia ya Face book jina lako likiandikwa utaona ..nami nimeona...Tanga Kunani umeniandika....!!! Nashukuru Tangu nimwambie Iblis Nafsi asinitaje direct amewacha ...lakini bado ananitaja indirect, kwa kweli iblis nafsi ningekujua in preson ungenifurahis...See More
No comments:
Post a Comment