Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Thursday, 6 November 2014

African Sports yasua sua Mbozi yapokea kichapo

Katika mwendelezo wa ligi daraja la kwanza mwaka huu timu ya African sports ya hapa Tanga imepokea kichapo cha mabao mawili kwa bila  huku wakimlalamikia mwamuzi kutoa penalt.
Akizungumza na TK Hatibu enzi amesema kuwa Mbozi uzalendo umechukua nafasi yake kwa wenyeji kupendelewa dhahiri shahiri.
Timu ya African Sports sasa inajiandaa kuelekea kule Songea kuwakabili Majimaji ya Songea ambayo kwa sasa ipo moto kweli ili kujhakikishia kupanda daraja kucheza ligi kuu.

No comments:

Post a Comment