Timu ya toto africana ya mwanza wamelia na uzalendo uliooneshwa na polisi Mara licha ya timu hizo kutoka sare ya bao moja kwa moja.
Akizungumza na TK Ahmed amesema kuwa licha ya uzalendo na kunyanyaswa kwa viongozi weo lakini wameshindwa kuwafunga na matokeo yake wametoa sare hiyo.
Alimaliza kusema kuwa katika mpira kama ukimfanyia mwenzako vitu ambavyo sivyo basi ukumbuke kuwa ipo siku utakwenda kwao lakini si kulipiza kisasi kama wao walivyofanya bali matokeo yake watatoa kipigo cha nguvu.
Kwa upande wao polisi mara wamesema kua hali ya mchezo ulikuwa nzuri licha ya kutoka sare hiyo ya bao moja kwa
moja.
No comments:
Post a Comment