Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Thursday, 6 November 2014

Panoni na sare sare Maua

Timu ya Panoni imetoka sare ya mabao mawili kwa mawili hapo jana katika mwendelezo wa ligi daraja la kwanza  baada ya kucheza dhidi ya JKT oljoro.
Panon walikua wakwanza kupata bao katika dakika ya nane kipindi cha kwanza kabla ya Oljoro kusawazisha dakika ya 45 katika dakika za nyongeza. 
Kipindi cha pili panon waliongeza bao la pili  lakini walishindwa kulilinda bao hilo na kuwafanya Oljoro kusawazisha dakika za mwisho tena.
Hadi mwisho wa mchezo timu zote hizo zimetoka sare ya mabao mawili kwa mawili.


No comments:

Post a Comment