Jibu rahisi sana kua bado rekodi kwa rekodi hazijavunjwa kwa kuipita rekodi ya Raul kwa kuingia nyavuni mara nyingi katika ligi ya mabingwa barani ulaya.
Hadi kufikia jana baada ya kuingia nyavuni kwa lionel mess sasa anafikia idadi ya mabao 71 ambayo sawa sawia na Raul huyu tunaemzungumzia ambaye hadi sasa ameingia nyavuni mara 71 pia huku akifuatiwa na Christiabo Ronaldo ambaye hadi sasa ameingia nyavuni mara 70.
Lakini kwangu naamini ushindani mkubwa upo kwa Ronaldo na lionel Mess kwakuwa wapo fire kweli.
Raul alikuwa akishikilia
rekodi ya kufunga mabao 71 na kuwa mfungaji mwenye mabao mengi zaidi kwenye
Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Licha ya kwanza Cristiano
Ronaldo alionekana ndiye atakuwa wa kwanza kumfikia Raul, lakini mabao mawili
aliyofunga Messi hapo jana wakati Barcelona ikiifunga Ajax kwa mabao 2-0 kwenye mechi ya
Ligi ya mabingwa sasa yamemfanya Mes kuifikia rekodi ya gwiji wa zamani wa madrid Raul..
No comments:
Post a Comment