Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Friday, 7 November 2014

Picha ya leo ndani ya Tanga Kunani facebook

Picture Speaks a Thousands Wards:
Picha hutoa tafsiri Elfu moja:
Mheshimiwa HALIMA OMARI DENDEGU
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara!! Mpaka Jana alikuwa
Mkuu wa Wilaya yetu ya Tanga!! Tafadhali Zoom hii
Picha Halafu Angalia Sura za Waliomzunguka ni Yupi
aso na Tabasamu Usoni Kwake/Mwake Look at the Kids
Wananikumbusha Ule Usemi wa Bw. Yesu (Nabii Issa AS)
"Waacheni Watoto Wadogo Waje Kwangu Maana Ufalme wa
Mbinguni ni Wao" Wamemwita Jembe, mimi nimemwita "TRECTA"
Mh. Ummy Mwalimu Amesema La She is a CATERPILLAR nadhani
ni D8R. Mdau Tiririka kulingana na Picha hiyo nahitaji kukusanya 2/3
kwa makala Maalum. Asanteni. Tk.
 Yafuatayo yalikuwa ni baadhi ya maoni toka kwa wana Tanga Kunani-TK fACEBOOK.

No comments:

Post a Comment