Lakini msanii huyo hakuwepo ndani ya nyumba hiyo Maafisa wanasema washukiwa hao kuwa walikuwa na bunduki na walifanikiwa kutoka na kiasi cha pesa kisichi julikana na vitu binafsi
Wawakilishi wa Brown bado hawajatoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo
Kulingana na ripoti,msanii huyo alikuwa ameenda kujivinjari katika klabu moja ya starehe
Hii ni mara ya pili nyumba ya msanii huyo kuvamiwa siku moja kuna mwanamke mmoja aliingia ndani kwa Criss brown na kuanza kupika vyakula na kisha akaandika ukutani kuwa anampenda sana msanii huyo
No comments:
Post a Comment