cha mapinduzi mzee Kingunge Ngombaru Mwiru amesema mchakato wote uliotumika katika kumpata mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM mwaka huu ulikuwa batili.
![]() | |
Mwanasiasa huyo amesema kwa
mujibu wa utaribu uliowekwa, wagombea wote wangetakiwa kupita mbele ya kamati
kuu na kujieleza na kuulizwa maswali lakini haikufanyika hivyo, jambo ambalo si
sawa huku akiongeza kuwa kuna watu walikuwa na orodha ya watu wao kuhusu nafasi
ya urais.
Kuhusu ndugu Edwaed Lowasa,
Kingunge amesema hausiki katika kashfa yeyote ya ufisadi kwa maana yeye
aliwajibika kisiasa na si kwamba alihusika katika kashfa ya Richmond.
CHANZO ITV
No comments:
Post a Comment