Nilichokiona siku hiyo ndani ya ukumbi ni waathirika wa madawa ya kulevya(Waraibu),waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali na watumishi wa wizara ya afya na mgeni rasmi ambaye alikuwa Diwani wa kata ya Nguvumali Mhe.SELE BOSS.
MADHAIFU;
- Jamii haijashirikishwa ambao ndio walengwa wakuu wa janga hili,
- Wadau wa maendeleo hawajashirikishwa ambao ni asasi za Serikal na zisizo za serikali( NGO's),
- Vituo vya kujisahihisha (Correction Center) maafisa wa polisi kutoa takwimu za kesi za madawa ya kelevya na faini zake endapo utakutwa unauza au kutumia,
- Hakukua na elimu ya kutosha iliyotolewa juu ya madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment