Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Monday, 6 July 2015

HATIMAYE TIMU BINGWA BABALAOOOO... COASTAL UNION -WAGOSI WA KAYA WAPATA UONGOZI MPYA.Na RAMADHANI MAKERO





Watatu kushoto ndiye Mwenyekiti mpya Dr.Ahmed Twaha,wapili kushoto ni ndugu Salimu Amiri makamu mwenyekiti pamoja na wajumbe wao.
Tuitazame kwa jicho lengine tena hawa wagosi wa kaya kwa huu uongozi mpya tuoombeeni dua nyingi uwe wa manufaa kwa timu hii iliyopo hapa jijini Tanga,Timu zetu nyengine dua zishirikiane kwa kutekeleza Tanga Kwanza(African Sports wanakimanumanu,Mgambo FC).TANGA IKO JUU NA TIMU ZETU ZIKO JUUUUU.......!!!

No comments:

Post a Comment