Nauliza tuuuu..... wenyeji wa mkoa huu kuwa eti ile hadha au mateso ya baadhi ya sehemu katika jiji hili la Tanga kuvamiwa na maji limetatuliwaaa??
Mimi mgeni jamani kuuliza sio ujinga wangwana.
Kama unakero yoyote tutumie ilituitoe hapa tutumie sms usipige kupitia hii no:0659-310702.
No comments:
Post a Comment