- JANUARY MAKAMBA
- BERNAD MEMBE
- AMINA SALIM ALLY
- DR.ASHA ROSE MIGIRO
- JOHN POMBE MAGUFURI
Bado ratiba inaendelea ni zamu ya wajumbe wa NEC wamekaa leo muda huu wa saa nne kwa ajili ya ya kuchuja majina mengine matatu.Kuwa pamoja nasi tutakufahamisha kila kinachoendelea mjini Dodoma.Ahsante
No comments:
Post a Comment