Friday, 17 July 2015
OBAMA KUTOZURU KIJIJINI KWAO KOGELO.Na RAMADHANI MAKERO
Wakazi wa kijiji cha Kogelo ambapo amezaliwa babaake Obama na kulelewa sasa hawatalazimika kufanya maandalizi ya aina yoyote kufuatia ziara hiyo baada ya balozi wa marekani nchini Kenya Robert Gedec kusema kuwa rais huyo hatozuru kijijini cha kogelo
"Ana mda mchache sana kwa hivyo basi atakuwa Nairobi pekee"Alisema bwana Godec akizungumza na runinga ya KTN
Bibiye Obama Sarah Obama alikuwa amejiunga na wakazi wa Kogelo akimtaka Obama kuwatembelea kulingana na ripoti za kituo cha habari cha Capital fm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment