Shime ameiambia mesema kuwa amewasoma vizuri wapinzani wao na kutambua
udhaifu wao hivyo anauhakika wa kushinda mchezo huo wa marudiano ambao utapigwa
Agosti 21 Uwanja wa Chamazi Complex.
Jumamosi iliyopita, ikicheza mbele
ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kadhalika
Naibu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Rosemary Chambe Jairo, timu ya
soka ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imeonyesha
kiwango cha juu na kufanikiwa kumaliza dakika 90 kwa kulazimisha sare ya 1-1 na
wenyeji wao Amajimbos.
No comments:
Post a Comment