Timu
ya Tora Bora Fc yenye maskani yake barabara ya kumi n atano 15 jijij hapa
inatarajiwa kufanya m kutano wao mkuu wa wanachama na washabiki wa timu hiyo
siku ya jumapili tarehe 21/8/2016.
Akizungumza
na TK FM REDIO katibu mkuu wa timu
hiyo KASETA BOTO KAMCHALA maarufu Boto
Man amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuwatambulisha wanachama uongozi wao na kuwakusanya wapenzi na
wanachama kuwaelezea mustakabali wa timu pamoja na maandalizi ya timu yao.
Aidha
Boto amesema kuwa mkutano huo utakuwa na ursa ya kutoa kadi kwa wanachama wapya
watakaojiumga na timu hiyo ya TORA BORA FC.
No comments:
Post a Comment