TIMU
ya taifa ya vijana chini ya umri wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys
kesho inatarajiwa kuelekea Afrika Kusini
tayari kwa mchezo wao dhidi ya Timu ya taifa ya nchi hiyo chini ya mika
17 na leo ikiwa nchini Madagaska imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya
leo wenyeji, ya Madagascar mjini Antananarivo leo.
Katika mchezo huo wa marudiano baina ya timu hizo baada ya juzi kutoka sare ya bila kufungana, mabao ya Serengeti Boys yamefungwa na Cyprian Mtesingwa dakika 77 na Kelvin Nashon dakika ya 86.
Katika mchezo huo wa marudiano baina ya timu hizo baada ya juzi kutoka sare ya bila kufungana, mabao ya Serengeti Boys yamefungwa na Cyprian Mtesingwa dakika 77 na Kelvin Nashon dakika ya 86.
Serengeti Boys ilikuwa imeweka kambi mjini Antananarivo, Madagascar tangu wiki
iliyopita kujiandaa na kucheza dhidi ya Afrika Kusini kuwania tiketi ya Fainali
za Kombe la Mataifa ya Afrika.
No comments:
Post a Comment