Akizungumza
na tk fm redio msemaji wa timu hiyo Said Wambuje amesema kuwa timu yao pia
itaongeza vijana wenye uzoefu ili kuweza kupata mafanikio huku akiisifia timu ya sahare kuwa ni timu
zilizokuwa na ushindani na kuleta
changamoto kubwa sana katika soka la Tanga kwani ni mara yao ya kwanza kwa timu hizo kuweka kushiriki.
Hata
hivyo wambuje amesema kuwa timu yao wanakaribisha wadhamini kwa jili ya
kuidhamini timu hiyo na kuzidi kufikia malengo licha ya kuwa malengo bado
hawajafikia mpaka dhamira yao ya kucheza ligi kuu ifanikiwe.
No comments:
Post a Comment