Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Monday, 25 August 2014

Sports

Mjadala Mkubwa washika Kasi Tanga Kunani Facebook!!
Mjadala Mkubwa kwa wale wadau wanaotumi mtandao wa kijamii wa facebook wa Tanga Kunani kuwajua na kuwatambua wachezaji wa zamani na kama alivyoahidi ADMIN wa Tanga kunani  kwa Mwalim Abdullatif Omar Famau sasa ametimiza kwa kuwaletea wadau picha husika ili wajimwage katika uwanja mpana wa Kijamii.
Je unakikumbuka kikosi hiki!
Admin ametekeleza  ombi kwa  kumletea Majirani zake wa St no 12Vijana/Wanakimanumanu, waliotia FORA kwa kutoka daraja la kwanza hadi Ubingwa wa Taifa kama bado hujajiunga na mtandao huu hakikisha hupitwi na mijadala hii kila siku kwa kujiunga sasa.

 

No comments:

Post a Comment