TANGAZO LA KIFO
Marehemu Injinia Dkt. Peter A. Mokiwa
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, anasikitika kutangaza kifo cha Injinia Dkt.
Peter A. Mokiwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 12
Septemba 2014 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Habari ziwafikie wafanyakazi wote wa Sekta ya Maji, ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani mjini Dodoma na mazishi yatafanyika kijijini Mgombezi wilayani Korogwe, Tanga siku ya Jumatatu ya tarehe 15 Septemba 2014. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amina

No comments:
Post a Comment