Serikali ya Marekani imeahidi kusaidia mapambano dhidi ya Ebola.
Rais
Barack Obama amesema nchi yake itapeleka vifaa vyake vya kijeshi ili
kusaidia kupambana na ugonjwa huo uliozuka katika nchi za Afrika
Magharibi.
Akizungumza katika kipindi cha televisheni ya NBC,
nchini Marekani, Rais Obama amesema iwapo dunia haitachukua hatua za
haraka, ugonjwa wa ebola utaweza kusambaa nje ya Afrika na kutishia
usalama wa nchi yake.
BBC
No comments:
Post a Comment