Hii ndio picha Yetu ya leo kutoka facebook kama ilivyowekwa na mweezetu Honora Edward Malya.
Ndugu yetu amehoji namna hii katika ukurasa wake wa Facebook...
Usiniulize Swali ... Ila Sema Chochote ujuaacho kuhusu MV Pangani...
Usiniulize Swali ... Ila Sema Chochote ujuaacho kuhusu MV Pangani...
Na haya ndo yalikuwa baadhi ya maoni toka kwa wachangiaji...
- Kassim Discover Sina Swali kikubwa nasema hivi ilikuwepo kama hii,inakuwepo kama hii na itakuwepo kama hii wahusika wafahamu kua tusiishi kwa mazoea.....
- Abdala Saady Ahadi ya Daraja itimizwe
- Raya Salimu hii ni hatariZaidi kuhusu mjadala huu unaweza Kubofya Hapa
No comments:
Post a Comment