Katika muendelezo wa ligi daraja la kwanza timu ya African Sports ya jijin hapa imendelea na vipigo mara baada ya juzi toka kupokea kichapo toka kule mbozi na leo tena imepokea kichapo kingine toka kwa timu ya maji maji ya songea cha mabao mawili kwa bila.
Akizungumza na Tanga Kunani-TK,Katibu wa timu hiyo Hatibu Enzi amesema kuwa wamepoteza mchezo huo hivyo basi timu itajipanga kwa ajili ya kushinda katika mchezo ujao dhidi ya JKT Mlale.
No comments:
Post a Comment