Majigambo tele akizungumza bila kukata tamaa wala kukasirika,msemaji wa Ruvu Masau Bwire amesema kuwa timu yake inakwenda kuwakabili Simba kwa kuchukua point tatu na sivinginevyo.
Akizungumzia maandalizi ya timu yake amesema kuwa timu yake ipo vizuri na ipo tayari kesho kwa mpambano huo kwani hadhani kwa simba kama kuna sehemu wanaweza kujitetea wasipokee kichapo toka kwao.

No comments:
Post a Comment