Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Saturday, 8 November 2014

Pambano la mtibwa lachezwa Dakika 45 na kuvunjika

Kama kawaida wakata miwa wa mtibwa sugar walikuwa wakiongoza bao moja kwa bila lililotiwa nyavuni na mshambuliaji wao nguli Aly Ame Zungu ndipo mvua iliyokua ikinyesha kutibua mpambano huo na kuufanya urudiwe tena hapo kesho kwa dakika 45 zilizobaki.
Akizungumza na Tanga Kunani-TK Msemaji wa Mtibwa Thobias Kifaru amesema kuwa mvua ilioyokuwa ikinyesha na inayoendelea kunyesha imepelekea kuvunjika kwa mpambano huo dhidi ya Kagera Sugar na majira ya saa mbili za Asubuhi kesho mpambano huo utarudiwa ili kukamilisha dakika 45 zilizobaki.
 

No comments:

Post a Comment