Mshambuliaji wa
West Ham United, Diafra Sakho ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi huku Kocha
wa West Ham United, Sam Allardyce pia akishinda tuzo ya Kocha Bora wa
Mwezi, akiwashinda kocha wa Hull City, Steve Bruce, Jose Mourinho wa
Chelsea na Alan Pardew wa Newcastle United.
Wengine
walioingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo hiyo ni Sergio Aguero wa Man
City, Leighton Baines wa Everton, Saido Berahino wa West Bromwich
Albion, Alexis Sanchez wa Arsenal na Dusan Tadic wa Southampton.
No comments:
Post a Comment