Klabu ya Liverpool nchini Uingereza imetoa kitita cha pauni milioni 32.5 kwa Villa kwa lengo la kumsajili mshambuliaji wa Ubelgiji Chritian Benteke
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alifunga mabao 12 katika mechi 12 katika msimu wa mwaka 2014-2015 na kuisaidia Villa katika ligi kuu ya Uingereza
Liverpool inataka mchezaji huyo baada kupokea kititi hicho cha pauni milioni 49 kutokana na mauzo ya mchezaji Raheem Sterling aliyehamia Mancity
Benteke bado amesaidia na kandarasi ya miaka 2 katika klabu ya Villa
Mshambuliaji wa Uingereza Daniel Strurridge alichezea timu hiyo mara 18 msimu uliopita kutokana na msururu wa majeraha na atasalia nje hadi mwezi wa september akiuguza jeraha.
No comments:
Post a Comment