Mchezaji wa Real madrid Sergio Ramos haondoki kwenda Manchester United ni kutokana na mkufunzi Rafael Benitezi.
Ombi la United kutaka kumsajili beki huyo kwa kitita cha pauni milioni 28 litakataliwa na Real Madrid ambayo inamwinda kipa wa Manchester United David De Gea
Lakini Benitezi alisema "Ninamuona Sergio kama kiungo muhimu cha timu yetu,Niushindi na hicho ndicho tunataka.
Rais wa Real Madrid tayari amesema kuwa Ramos atasidia katika klabu hiyo
Mkufunzi huyo wa zamani aliyefunza Liverpool na Chelsea ambaye alisajili na Rafael Madrid mwezi juni,alongoza "Nimeongoza na Ramos kwa urefu msimu huu kuhusu hatua yake"
No comments:
Post a Comment