Tanga Kunani
Email:tangakunani4@gmail.com
Home Traders
Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga
Home
Our Contacts
Tembelea TK FM REDO 88.5 Tanga
Wednesday, 15 July 2015
FOMU ZA UBUNGE NA MADIWANI ZATOKA LEO.
Joto la Mwili na Presha vyapanda kwa watia NIA wa chama cha CCM.
Leo kuna kukuru kakara za huku na huko za watia nia,Wafuasi na wapambe tayari kwa kukabiliana na Zoezi hilo
Makada wa CCM wenye nia ya kugombea kata za jiji la Tanga wako katika harakati za kuzitumia siku nne za zoezi hilo
Zoezi ndio limeanza leo tarehe 15/07/2015 na kumalizika tarehe 19/07/2015.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment