Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga
SANCHEZ APUMZISHWA.Na RAMADHANI MAKERO
Arsene Wenger asema kuwa mshambuliaji huyo anaweza kukosa mchezo huo mara baada ya kuwa ameisaidia timu yake ya Chile kutwaa ubingwa wa taji la Kopa Afrika kwa hiyo atajiunga na timu tarehe 3 mwezi unaofuata na inaweza kuchukua wiki tatu mchezaji kuwa fiti tena Sanchez aukosa mchezo wa ngao ya Jamii wa tarehe 2 dhidi y Chelsea.
No comments:
Post a Comment