Hii ndio ratiba ya mechi za ufunguzi katika michuano ya kombe la Kagame CECAFA imekwisha toka ambapo jumamosi hii APR ya Rwanda itacheza na Al-Shandy ya Sudan majira ya saa nane mchana kwa saa za Afrika Mashariki
Mchezo wa pili utakuwa kati ya Yanga ya Tanzania na Gor Mahia ya kenya majira ya saa 10 jioni kwa saa za Afrika ya mashariki
Muda huo huo KMKM ya Zanzibar itakuwa na kibarua dhidi ya Telecom ya Djibout
Historia ya michuano hiyo Simba SC ndiyo inayoongoza kwa kutwaa ubingwa kwani ni mara ya sita sasa ikifuatiwa na Yanga huku Gor Mahia ikiwa imetwaa mara tano na APR ya Rwanda mara tatu.
No comments:
Post a Comment