Wanasyansi wa NASA kutoka Marekani wamesema kuwa majaribio yao ya kurusha chombo kwenda katika sayari ya Pluto yamekuwa na mafanikio mkubwa
Chombo hicho kimefanikiwa kutuma taarifa katika kituo cha utafit huo cha Maryland zilizochukua takribani saa nne na nusu hadi kufika duniani na kupokelewa na Antenna NASA
Saa chache zijazo wanasyansi hawa wa NASA wameeleza kuwa wanatarajia kupata mfululizo wa taarifa zaidi na picha kutoka sayari ya Pluto ambazo zitatoa uhalisia wa undani wa sayari hiyo ya Pluto
No comments:
Post a Comment