Mandalizi
ya mchezo wa kirafiki kati ya timu ya mbeya city ya mbeya na timu ya mtibwa
sugar yanaendelea huku kila timu
ikijitapa kushinda katika mchezo wake huku timu ho zikijaribu wachezaji wake waliowasajili kwa ajili ya
msimu mpya unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Wakizungumza
na TK FM REDIO katika kipindi cha Inter Sports wasemaji wa timu hizo tobias Kifaru
wa mtibwa sugar na Dismas Ten
wa Mbeya City wamesema kuwa timu zipo katika maandalizi makali na leo alhamisi Mbeya city wanatarajiwa kuondoka Mbeya
kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo
huo Huku wenzao wakata miwa wa mtibwa sugar wakiwa bado jijini Daressalaam
wakitarajiwa kuondoka Daressalaam hapo kesho siku ya ijumaa wakiivunja kambi
kurejea morogoro.
Aidha
timu hizo zimesema kuwa mchezo huo utakuwa ni kipmo kwa wachezaji wao na
makocha wao.
No comments:
Post a Comment