![]() |
Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manj |
Manji anaitisha Mkutano huo siku mbili tu baada ya wapinzani, Simba SC kuamua
kuingia katika mfumo wa kuuza hisa kufuatia Mkutano wao wa Jumapili hapo hapo,
Bwalo la Maofisa wa Polisi.
Barua ya tangazo la Mkutano wa Yanga haijataja agenda – na Mkutano huo unakuja
miezi miwili tu mno tangu kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Juni 11, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment